Povej prijatelju o tem izdelku:
Mbinu 101 za Mafanikio Jacob Mushi
Mbinu 101 za Mafanikio
Jacob Mushi
Kitabu hiki ni mkusanyiko wa makala ninazoandika kila siku za HATUA ZA MAFANIKIO. Nimechambua makala 101 ambazo ukizisoma zinaweza kukupa mbinu na maarifa ya kukuwezesha usonge mbele zaidi kwenye kile unachokifanya. Utapata nafasi ya kuongezeka kwenye MAHUSIANO, BIASHARA NA ROHO YAKO PIA. Usiache kusoma kitabu hiki ili uweze kusonga mbele.
| Medij | Knjige Broširana izdaja Bog (Knjiga z mehkimi platnicami in lepljenim hrbtom) |
| Izdano | 14. januarja 2021 |
| ISBN13 | 9789976505115 |
| Založniki | Tanzania National Library |
| Strani | 204 |
| Dimenzije | 152 × 229 × 12 mm · 303 g |
| Jezik | Afrikaans |
Božična darila lahko vrnete do 31. januarja